Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle Podcast Por DW.COM | Deutsche Welle arte de portada

Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

De: DW.COM | Deutsche Welle
Escúchala gratis

Acerca de esta escucha

Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.2024 DW.COM, Deutsche Welle Aprendizaje de Idiomas
Episodios
  • Somo 26 – Ninakualika
    Mar 18 2009
    Herr Thürmann ana kazi ya kumpatia Andreas – mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyotenganishwa
    Más Menos
    15 m
  • Somo 25 – Kilichobaki nitalipa mimi
    Mar 18 2009
    Andreas anatahayari... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi na kidhihirishi katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)
    Más Menos
    14 m
  • Somo 24 – Je, ungependa (kunywa) kahawa nyingine?
    Mar 18 2009
    Kualikana chakula kikazi: Frau Berger, Andreas na Ex... Muhtasari wa sarufi: Majina katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)
    Más Menos
    13 m
Todavía no hay opiniones