Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle Podcast Por DW.COM | Deutsche Welle arte de portada

Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

De: DW.COM | Deutsche Welle
Escúchala gratis

Acerca de esta escucha

Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usioungwa moja kwa moja.2024 DW.COM, Deutsche Welle Aprendizaje de Idiomas
Episodios
  • Somo 26 – Safari ya kwenda Loreley inapendeza ajabu
    Mar 18 2009
    Ex mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
    Más Menos
    16 m
  • Somo 25 – Unaweza kunipatia taulo za mkono?
    Mar 18 2009
    Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘
    Más Menos
    14 m
  • Somo 24 – Nimesahau
    Mar 18 2009
    Kumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa
    Más Menos
    15 m
Todavía no hay opiniones