Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle Podcast Por DW.COM | Deutsche Welle arte de portada

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

De: DW.COM | Deutsche Welle
Escúchala gratis

Acerca de esta escucha

Andreas bado anafanya kazi Aachen, lakini Dr Thürmann amepata kazi mpya kwa mwenye mtizamo wa kuwa mwandishi habari. Berlin: Jiji kubwa na linalovutia zaidi linamsubiri. Mambo muhimu ya sarufi: Wakati uliopita hali ya kuendelea, vishazi tegemezi, kubadilika kwa vivumishi.2024 DW.COM, Deutsche Welle Aprendizaje de Idiomas
Episodios
  • Somo 26 – Tunataka tuwe pamoja tu
    Mar 18 2009
    Mwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
    Más Menos
    15 m
  • Somo 25 – Kwanza natumaini kupata kazi ndogo ndogo
    Mar 18 2009
    Dr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi
    Más Menos
    14 m
  • Somo 24 – Wafu hawafi milele
    Mar 18 2009
    Andreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
    Más Menos
    15 m
Todavía no hay opiniones