Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle Podcast Por DW.COM | Deutsche Welle arte de portada

Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

De: DW.COM | Deutsche Welle
Escúchala gratis

Acerca de esta escucha

Andreas amekamilisha masomo yake na yuko tayari kufanya utafiti wa makala yake ya kwanza. Kazi yake inamwelekeza na inampeleka (bila shaka pamoja na rafiki yake wa ajabu ex) katika iliyokuwa Ujerumani ya Mashariki. Mambo muhimu ya sarufi: Kauli-tendwa, vishazi tegemezi, vitenzi vya kujirejea, dhamira tegemezi.2024 DW.COM, Deutsche Welle Aprendizaje de Idiomas
Episodios
  • Somo 26 – Neno la kichawi
    Mar 18 2009
    Je, Ex anaweza kufanywa aonekane... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
    Más Menos
    14 m
  • Somo 25 – Ua la samawati
    Mar 18 2009
    Hadithi ya kutafuta utambulisho. Sheria za sarufi: Sentensi za kitenzijina na neno „zu“.
    Más Menos
    14 m
  • Somo 24 – Luther katika ngome Wartburg
    Mar 18 2009
    Namna Martin Luther alivyookolewa... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (III)
    Más Menos
    15 m
Todavía no hay opiniones