Episodios

  • Rwanda yajipata pabaya katika ripoti ya kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa
    Jul 7 2025
    Ripoti ya siri ya watalaam wa Umoja wa Mataifa imeishtumu Rwanda kwa kutoa maagizo na kudhibiti shughuli za waasi wa M23.
    Más Menos
    7 m
  • Taarifa ya Habari 4 Julai 2025
    Jul 4 2025
    Kamishna wa zamani wa tume yakifalme ame kosoa serikali, kwa kufeli kuchukua hatua haraka kwa mfumo wakitaifa wakufanya ukaguzi kwa ajili yakufanya kazi na watoto.
    Más Menos
    16 m
  • Jinsi pombe inavyodhibitiwa na kutumiwa nchini Australia
    Jul 4 2025
    Huenda umesikia kwamba wa Australia ‘ni maarufu kwa kunywa’, haswa wakati wa matukio makubwa ya michezo au katika siku kuu za umma.
    Más Menos
    15 m
  • Shangwe na furaha ya shuhudiwa jijini Fairfield, NSW
    Jul 3 2025
    Wanachama wa jumuiya ya DR Congo wanao ishi jimboni NSW, Australia walijumuika kwa sherehe maalum katika uwanja wa Fairfield Park, Fairfield, NSW.
    Más Menos
    7 m
  • Taarifa ya Habari 1 Julai 2025
    Jul 1 2025
    Mamia ya wafanyakazi wa huduma za dharura, helikopta na magari yawataalam yako katika hali ya tahadhari wakati kimbunga kina elekea katika maeneo ya kanda yanayo endelea kupona mafuriko mabaya katika eneo la Kaskazini New South Wales.
    Más Menos
    15 m
  • Uwakilishi wa Mataifa ya Kwanza katika vyombo vya habari: Nini kinabadilika, kwa nini ni muhimu
    Jul 1 2025
    Uwakilishi wa WaAustralia wa Asili katika vyombo vya habari kihistoria umechangiwa na mila potofu na kutengwa ila, hali hii inabadilika pole pole.
    Más Menos
    12 m
  • Taarifa ya Habari 30 Juni 2025
    Jun 30 2025
    Anthony Albanese amesema Australia haita ongeza matumizi yake ya ulinzi mwezi wa Aprili ijayo kama sehemu ya mkakati wa ulinzi wa taifa, baada ya wito kutoka Marekani kupiga jeki bajeti ya Ulinzi.
    Más Menos
    7 m
  • Wakenya waingia debeni jimboni Victoria
    Jun 27 2025
    Wanachama wa Jumuiya yawa Kenya wanao ishi Victoria (KCV), wanashiriki katika uchaguzi wa bodi mpya ya viongozi wao.
    Más Menos
    14 m