• Mikutano ya kijiji ilivyorejea Madanga, Pangani.

  • Nov 21 2023
  • Length: 12 mins
  • Podcast

Mikutano ya kijiji ilivyorejea Madanga, Pangani.

  • Summary

  • Hadi kufikia March 2023, Kijiji cha Madanga, Wilaya ya Pangani, hakikuwa kimefanya mikutano kwa takribani miaka mitatu. Hii yote ni kutokana na migogoro iliyokuwepo miongoni mwa viongozi wa vitongoji na kata. Lakini baada ya kuja kwa uraghbishi kijiji hapo, migogoro ilitatuliwa, na mikutano ikapangwa kufanyika tena. Sikiliza mazungumzo haya kujua haya yote yalifanikiwa vipi.

    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Mikutano ya kijiji ilivyorejea Madanga, Pangani.

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.