• Tanzania Adapts: Haki za binadamu na mabadiliko ya tabia ya nchi.

  • May 26 2023
  • Length: 24 mins
  • Podcast

Tanzania Adapts: Haki za binadamu na mabadiliko ya tabia ya nchi.

  • Summary

  • Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza kukabiliana na hali hiyo.


    On this Episode Marygoreth Richard seats with an expert from Legal and Human Rights center Felister Mahuya to discuss about how climate change is impacting human rights in Tanzania.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Tanzania Adapts: Haki za binadamu na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.