Mwanamke Afya Podcast

By: Mwanamke Afya Podcast
  • Summary

  • Mwanamke Afya Podcast ni podcast inayojihusisha na masuala mbalimbali ya afya kwa wanawake na wasichana ili kuwa na kizazi chenye afya kwa wote kama inavyo eleza lengo namba tatu la Malengo Endelevu ya Umoja wa Mataifa #sdgs
    Mwanamke Afya Podcast
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2
Episodes
  • MAKUNDI HATARISHI KUPATA SARATANI YA UTUMBO MPANA
    Jul 18 2024

    Saratani ya utumbo mpana ni saratani ya tatu inayoongoza kwa kusababisha vifo duniani kote.


    katika Epsode hii, tunaangazia chanzo cha saratani hii na njia ya kujikinga na ugonjwa huo

    Show more Show less
    17 mins

What listeners say about Mwanamke Afya Podcast

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.