• MAKUNDI HATARISHI KUPATA SARATANI YA UTUMBO MPANA
    Jul 18 2024

    Saratani ya utumbo mpana ni saratani ya tatu inayoongoza kwa kusababisha vifo duniani kote.


    katika Epsode hii, tunaangazia chanzo cha saratani hii na njia ya kujikinga na ugonjwa huo

    Show more Show less
    17 mins