Episodes

  • Tanzania Adapts: Ukweli mchungu kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi.
    Jun 21 2023

    In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes back to the history and science behind climate change and its effects globally and in the country and ways in which we can adapt to those changes.


    Katika Episode hii Marygoreth Richard anazungumza na Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), Mhadhiri wa Chuo Kikuu, Balozi wa mabadiliko ya tabia ya nchi wa Umoja wa mataifa nchini Tanzania lakini pia ni mwanzilishi wa Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). Katika mazungumzo haya Prof Aidan anaturudisha kwenye historia na sayansi nyuma ya mabadiliko ya tabia ya nchi na namna yanavyoendelea na yatakavyoendelea kuleta athari kama hatua hazitachukuliwa. Ametaja hatua mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko hayo kuanzia ngazi ya familia mpaka taifa.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
    26 mins
  • Tanzania Adapts: Haki za binadamu na mabadiliko ya tabia ya nchi.
    May 26 2023

    Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza kukabiliana na hali hiyo.


    On this Episode Marygoreth Richard seats with an expert from Legal and Human Rights center Felister Mahuya to discuss about how climate change is impacting human rights in Tanzania.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
    24 mins
  • Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki
    May 11 2023
     “Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa.

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
    16 mins
  • Tanzania Adapts: Part 1 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki
    Apr 28 2023
     “Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
    28 mins
  • Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.
    Apr 14 2023

    Alizaliwa kijijini Iringa kwenye changamoto ya umeme, Gibson Kawago kijana mbunifu kutoka Tanzania mwanzilishi wa kampuni ya WAGA inayofanya ubunifu wa kurejelesha betri zilizokufa za Kompyuta mpakato ama Laptop kutengeneza betri za lithium-ion zinatotoa nishati safi ya umeme kwa gharama nafuu. Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na kijana huyu na kudadavua kwa undani ndoto yake ilianzia wapi na kwanini ubunifu wake ni mfano wa kuigwa kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia ya nchi.


    In this Episode Marygoreth Richard talks to Gibson Kawago who is the Founder of Wanted Garage (WAGA), that reuses laptop batteries to provide affordable, reliable, and durable lithium-ion battery solutions. Through WAGA, Gibson can help rural dwellers access off-grid clean and affordable energy for lighting and power solutions.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
    22 mins
  • Tanzania Adapts: Suluhisho mabadiliko ya tabia ya nchi.
    Mar 29 2023

    Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na Mkurugenzi Mkazi wa shirika la WWF kwa Tanzania Dr. Amani Ngusaru kujadili changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi na suluhisho mbalimbali za kitaifa na kimataifa kukabiliana na mabadiliko hayo.


    In this Episode Marygoreth Richard seats with Dr. Amani Ngusaru WWF Country Director - Tanzania to discuss Climate change solutions both local and International.


    Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
    21 mins
  • Tanzania Adapts: Upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
    Mar 8 2023

    Kwenye episode hii nimezungumza na Mkuu wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara Bi. Janeth Mayanja tukijadili juu ya upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ambapo katika wilaya yake anahamasisha upandaji wa miti ya matunda. Pia ndani ya Podcast hii nimezungumza na Afisa Misitu kutoka Wakala wa misitu Tanzania wilaya ya Hanang Rajabu Salehe Mzee akituambia ni kwa namna gani miradi ya namna hii inasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.



    This Podcast episode is recorded from the field where Marygoreth visited a project that implements tree planting in Manyara region looking at Climate Change adaptation through planting trees. In this episode you will hear from Hanang District Commissioner Janeth Mayanja as we discuss about the project in the region. Also, I interviewed Tanzania Forest Service Agency Officer from Manyara Rajabu Salehe Mzee and Ms. Adelina Manya, Nangwa Secondary School Headteacher who are implementing the project.


    Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.


    Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
    15 mins
  • Tanzania Adapts:Kukabiliana na ukatili unaosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi.
    Feb 17 2023

    Leo kwenye Podcast hii Marygoreth Richard anazungumza na Bi. Rose Mnjilo ambaye ni Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia masuala ya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na Watoto kwa jamii za kifugaji.Leo utazungumzia ambavyo namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoweza kusababisha ukatili wa kijinsia kwa wanawake na Watoto na namna ya kukabiliana nao.


    On this Episode Marygoreth Richard seats with Rose Mnjilo – An expert from Pastoralists' community in Tanzania to discuss on how Climate Change can cause Gender Based Violence in the community.


    Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show more Show less
    28 mins