Umbu Podcast

By: Umbu Africa
  • Summary

  • Podcast ya Umbu inawaletea mahojiano kati ya Bi. Esther Karin Mngodo na wanawake waandishi, wachapishaji, na wadau wa vitabu.
    Umbu Africa
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2
Episodes
  • Umbu podcast: Jane Shussa
    Jan 29 2024
    Jane Shussa Mtaalamu wa Mawasiliano ya Kidijitali na Mwandishi Jane Shussa ni mtaalamu mwenye uzoefu wa mafanikio kwa miaka 10 katika eneo la mawasiliano ya kidijitali na utetezi. Ushawishi wake katika mawasiliano yenye ufanisi na maudhui ya kuvutia unaokena katika kazi za kimaudhui anazozifanya kupitia Blogu ya Maisha kuishi ambapo anaandika mitazamo ya maisha ya kila siku. Unaweza kuipata hapa: www.maishakuishi.com
    Show more Show less
    29 mins
  • Umbu podcast: Neema Komba
    Nov 10 2023
    Mazungumzo na Neema Komba -- mwandishi, mshairi na mtafiti. Neema ni mtunzi wa vitabu kikiwemo 'Mektildis Kapinga: A silent hero and See Through the Complicated'. Kazi zake zimechapishwa kwenye majarida mbalimbali na ameshinda tuzo kadha wa kadha. Mwaka 2022, alishinda udhamini wa Miles Morland Foundation kuandika riwaya yake ya kwanza.
    Show more Show less
    29 mins
  • Umbu podcast: Mazungumzo na Dkt. Ida Hadjivayanis
    Oct 27 2023
    Mazungumzo na Dkt. Ida Hadjivayanis, mfasiri wa kazi mbalimbali ikiwemo Peponi, ambayo ni tafsiri ya Paradise iliyoandikwa na Prof Abdulrazak Gurnah, aliyeshinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi 2021
    Show more Show less
    27 mins

What listeners say about Umbu Podcast

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.