• Umbu podcast: Neema Komba

  • Nov 10 2023
  • Length: 29 mins
  • Podcast

Umbu podcast: Neema Komba

  • Summary

  • Mazungumzo na Neema Komba -- mwandishi, mshairi na mtafiti. Neema ni mtunzi wa vitabu kikiwemo 'Mektildis Kapinga: A silent hero and See Through the Complicated'. Kazi zake zimechapishwa kwenye majarida mbalimbali na ameshinda tuzo kadha wa kadha. Mwaka 2022, alishinda udhamini wa Miles Morland Foundation kuandika riwaya yake ya kwanza.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Umbu podcast: Neema Komba

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.